![]()  | 
| Mh.Zitto Kabwe akisalimia wananchi | 
![]()  | 
| Katonga, Mwandika, Ujiji, Kibirizi, Majengo, Mwanga,Kilimahewa, Mjimwema na Katubuka wote walimwagika Lake Tanganyika. | 
![]()  | 
| Mh.Halima Mdee nae walitoa sapoti kwenye Leka Dutigite | 
![]()  | 
| Leka Dutigite ikapamba Moto kwa Waheshimiwa | 
Shukrani kwa wana Kigoma wote waliyotoa sapoti katika Tamasha hilo la Leka Dutigite na Kigoma yenye neema izidi kusonga mbele. AMINA...






1 comment:
Ahsante kwa kukumbuka kwetu, anayekataa kwao mtumwa!Nawapenda hasa hao washeshimiwa vijana.
Post a Comment