Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Thursday, July 19, 2012

KIGOMA NZIMA ILILIPUKA NA TAMASHA LEKA DUTIGITE


Mh.Zitto Kabwe akisalimia wananchi

Katonga, Mwandika, Ujiji, Kibirizi, Majengo, Mwanga,Kilimahewa, Mjimwema na Katubuka wote walimwagika Lake Tanganyika.

Mh.Halima Mdee nae walitoa sapoti kwenye Leka Dutigite

Leka Dutigite ikapamba Moto kwa WaheshimiwaShukrani kwa wana Kigoma wote waliyotoa sapoti katika Tamasha hilo la Leka Dutigite na Kigoma yenye neema izidi kusonga mbele. AMINA...

1 comment:

Ausal said...

Ahsante kwa kukumbuka kwetu, anayekataa kwao mtumwa!Nawapenda hasa hao washeshimiwa vijana.