Wasanii mbalimbali waliyoshiriki katika umoja wa Kigoma All Stars na waliyoimba wimbo wa Leka Dutigite wameanza kuingia kigoma tangu asubuhi ya leo na Ndege ya Shirika la Procession Air na wa mwisho wataingia kesho asubuhi saa nne.
Wasanii watakaoshiriki katika Tamasha hilo ni Diamond, Mwasiti, Ommy dimpoz, Linex, Baba Levo, Recho, Peter Msechu, Banana, Makomando na wengine wengi bila kumsahau Mh. Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Kaskazini.
Uskose katika Viwanja vya Lake Tanganyika na kiingilio ni bureeeeeeeeeeeeeeee.....
KIGOMA- LEKA DUTIGITE
No comments:
Post a Comment