Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Thursday, December 20, 2012

Kusalimia wasafiri



Waziri wa Uchukuzi, Dk Harison Mwakyembe, akizungumza na wasafiri katika Kituo Kikuu cha Treni mjini Kigoma alipofanya ziara katika kituo hicho kujionea hali ya utoaji huduma na kuzungumza na wafanyakazi wa kituo hicho. ( Picha na Fadhili Abdallah).

No comments: