Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, December 5, 2012

Hati za kimila Kigoma

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kigoma, Miriam Mbaga (wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wananchi kutoka vijiji vya Simbo na Kasuku baada ya kuwakabidhi hati zao za kimila.


No comments: