Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, November 14, 2012

Semina ya lugha ya Kifaransa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ramadhani Maneno akizungumza kwenye semina ya lugha ya Kifaransa iliyoandaliwa na taasisi ya Kigoma Community College by Radio.
Kulia ni mkurugenzi wa Taasisi hiyo Deo Baligwegule na kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya Taasisi hiyo Shekhe Moshi Guoguo

No comments: