Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Friday, November 9, 2012

Hii ndiyo video ya Zitto Kabwe alivyo unguruma bungeni

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) amewasilisha hoja binafsi akitaka Serikali ichukue hatua dhidi ya Watanzania walioficha fedha haramu nje ya nchi na kubainisha kiasi cha fedha kilichofichwa huko na miradi iliyohusika kupatikana kwa fedha hizo.

No comments: