Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Thursday, November 1, 2012

Mkutano wa hadhara kigoma
Katibu Mwenezi wa Taifa wa Chama cha NRA, Hamisi Kiswaga akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya soko la Buzebazeba Ujiji mjini Kigoma.

No comments: