Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, October 3, 2012

Ujasiriamali Kigoma




Wajasiriamali kutoka kikundi cha Umoja wa Wanawake mkoani Kigoma (UWAUKI) wakiwa katika kikao cha kujadili mikakati mbalimbali ya kuendesha shughuli zao kwa ufanisi.

No comments: