Jengo la NSSF Kigoma mjini.
Hili ni Jengo la NSSF Kigoma mjini katika stand ya Madereva taxi au walipokuwa Watu waendeshao Pikipiki (Bodaboda), sasa limekamilika kama unavyoliona katika picha.
Hakika hii ni fulsa nzuri kwa Mkoa wa Kigoma katika kukua kwa Uchumi kwa Serikali na Watu waishio Kigoma kwa ujumla.
Daraja jipya la Luiche lililojengwa likonekana na la zamani liliojengwa katika barabara ya kigoma -kidahwe
|
No comments:
Post a Comment