Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, October 17, 2012

Mashindano ya mitumbwi




Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya TBL, Fimbo Butallah akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mitumbwi ya Balimi Extra Lager yanayotarajiwa kuanza Oktoba 20 Kigoma.
 Mwingine ni Meneja wa Bia ya Balimi, Edith Bebwa.

No comments: