Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, October 17, 2012

Kumiliki ardhi kimila




Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Miriam Mbaga akikabidhi cheti cha kimila cha umiliki wa ardhi wa pamoja kwa Joel Yohana na mke wake, Esnat Joniphas wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwanamke wa Kijijini yaliyofanyika katika kijiji cha Mkongoro Kigoma Vijijini.

No comments: