Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Thursday, September 27, 2012

Vyama vya akiba na mikopo












Washiriki wa mafunzo ya siku tisa kuhusu uendeshaji wa vyama vya akiba na mikopo kwa mafanikio na elimu ya ujasiriamali kwa wajumbe wa vyama vya akiba na mikopo kutoka wilaya za Kigoma, Kasulu na Kibondo wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa kwenye mafunzo.

No comments: