Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, September 19, 2012

Kichwa kipya kutoka Kigoma hichoooooooooo



Msanii machachali Hussein Ramadhani a.k.a Vumbe wa Kigoma mjini amekuja na Wimbo mkali kwa jina la "SIJAJUA" uliyorekodiwa katika Studio za UB Rec chini ya  Producer Yuddy ndipo ulipotengenezwa wimbo huo.

Msanii Vumbe

Shime wanakigoma wote tumpe sapoti Msanii wetu VUMBE kwa mawasiliano piga simu; +255718 755 011, E-mail; ramadhanh66@yahoo.com

Download track & player 
 

No comments: