Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Sunday, September 30, 2012

Uzazi wa mpango na upimaji vvu Kigoma



Mkuu wa Mkoa Kigoma Issa Machibya (wa pili kulia) akipata maelezo ya matumizi ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango kutoka kwa Mratibu wa Kanda ya Ziwa wa Shirika la Marie Stopes Tanzania Agnes Mpanza (kushoto) wakati wa uzinduzi wa huduma za mkoba za uzazi wa mpango na upimaji wa hiari wa VVU utakaokuwa ukitekelezwa na shirika hilo kwa kipindi cha miaka minne mkoani Kigoma.

No comments: