Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Tuesday, August 28, 2012

Mafunzo kwa wanahabari Kigoma


Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ramadhani Maneno

Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ramadhani Maneno (kushoto) akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku tatu ya Maadili ya Uandishi wa Habari kwa ajili ya waandishi wa Kigoma Press Club yanayofanyika mjini Kigoma kwa uratibu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT).

Katikati ni Mwenyekiti wa Mafunzo, Prosper Kwigize na wa kwanza kulia ni mmoja wa wakufunzi wa mafunzo hayo, Rose Mwalongo.

No comments: