Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, January 18, 2012

Hii ndiyo safari ya mwisho ya Mh. Regina Mtema

 Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Regia Mtema katika Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwenda Ifakara mkoani Morogoro kwa maziko.

Hii ndiyo safari ya mwisho ya Mh.Regina Mtema hapa Duniani. Mungu amuweke mahali pema peponi, Ameni.Bwana alitoa na sasa ametwaa jina lake libarikiwe.

No comments: