Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Sunday, November 20, 2011

Neema Lihawa, mdau wa Kgoma yetu atunukiwa nondo yake ya Elimu


Mhitimu wa Shahada ya Sanaa na Ualimu wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) katika Mahafali ya Nne ya Chuo hicho, Neema Lihawa, akiwa na mwanawe mchanga wa miezi mitatu, Arqam Shaaban, baada ya kutunukiwa Shahada yake na Mkuu wa Chuo Kikuu hicho, Hajjat Mwatumu Malale kwenye viwanja wa chuo mjini Morogoro.

No comments: