Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Tuesday, November 22, 2011

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka, Mahakamani kwa Ufisadi

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka akitoka nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam chini ya ulinzi wa askari wa mahakama hiyo kwa dhamana alipofikishwa mahakamani hapo akikabiliwa na mashtaka matatu ya matumizi mabaya ya ofisi, kutofuata taratibu za ununuzi na kutotunza kumbukumbu.

No comments: