Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Friday, November 25, 2011

Ee! Mungu tusaidia na Mvua hizi...

Lori lenye namba za usajili T190 AKW likiwa limetumbukia mtoni baada ya kusombwa na maji katika daraja la mto Loobuko kati ya Makuyuni na Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha kutokana na mvua kubwa zinazonyesha mkoani humo.

No comments: