Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Thursday, October 6, 2011

Rais Jakaya Kikwete amzawadia fedha, mtoto Liano Adamu (7)

Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kumzawadia fedha, mtoto Liano Adamu (7) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ruaha Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro baada ya kuvutiwa na uchezaji wake wa ngoma ya Lizombe ya kabila la Wangoni. Rais yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Nyuma ya Rais ni Mkuu wa Mkoa, Joel Bendera.

No comments: