Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Thursday, October 13, 2011

Pumzika kwa Amani Harith Juma Mwapachu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Harith Juma Mwapachu wakati wa maziko yake kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Harithi ni mtoto wa Katibu Mkuu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu, alikufa Jumanne, Dar es Salaam. Kulia ni Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.

No comments: