Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Tuesday, October 4, 2011

Ni Kafumu wa CCM

Mbunge mteule wa Igunga, Dk. Dalaly Kafumu akipongezwa na mke wake, Maria Magdalena Kafumu baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi Mdogo uliofanyika Oktoba 2. Wengine pichani ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (nyuma ya Kafumu) na kulia kwa Mukama ni Katibu wa NEC wa Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma. 

No comments: