Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Saturday, October 22, 2011

Ajali ya Ndege yaua Rubani wake

Ndege ndogo aina ya Piper Pa 34-300 namba 5H-QTE, mali ya World Quality Travel and Tour Limited ikiwa imeanguka nyumbani kwa Maria Akyoo, Arumeru mkoani Arusha na kuua rubani na mbuzi watatu.

No comments: