Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Sunday, September 18, 2011

Wanafunzi wawekwa unyumba!

Askari Polisi wakimtafuta mfugaji wa jamii ya Kimasai wa Kijiji cha Parakuyo, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro anayetuhumiwa kumwoa ndoa ya kimila mwanafunzi wa kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari ya Parakuyo mwenye umri wa miaka 14. Polisi waliendesha msako huo hivi karibuni. 

No comments: