Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Sunday, September 25, 2011

Rais wa Zanzibar,akiwa amefungua pazia ikiwa ni ishara ya kuzindua Shule ya Sekondari ya Wama Nakayama

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akiwa amefungua pazia ikiwa ni ishara ya kuzindua Shule ya Sekondari ya Wama Nakayama katika Kijiji cha Nyamisati wilayani Rufiji katika Mkoa wa Pwani. Kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, ambaye ni mlezi wa shule hiyo. 

No comments: