Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Sunday, September 4, 2011

Mitumbwi ni usafiri tegemezi katika Ziwa Tanganyika tangu nchi ipate Uhuru mwaka 1961

Mama akimsaidia mwanae kuteremka kutoka katika mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka visiwa vya Mvuna na Mandakerenge, vilivyomo katika Ziwa Tanganyika wilayani Nkansi mkoani Rukwa mwishoni mwa wiki. Mitumbwi hiyo ni usafiri pekee kwa wakazi wa visiwa hivyo na vingine vingi vilivyomo katika Ziwa hilo tangu nchi ipate Uhuru mwaka 1961.

No comments: