Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Monday, September 5, 2011

Wafanyakazi wa kampuni zinazofanya shughuli za kitalii za Afrika ya Kusini wakipokewa kwa heshima na gwaride la Wamasai


Wafanyakazi wa kampuni zinazofanya shughuli za kitalii za Afrika ya Kusini wakipokewa kwa heshima na gwaride la Wamasai baada ya kuwasili kwenye hoteli ya Blue Bay Beach Resort, Kiwengwa Zanzibar ambapo walipata fursa ya kukagua hoteli hiyo na kuridhika kuwa Zanzibar ina uwezo mkubwa wa kupokea idadi kubwa ya watalii kwa wakati mmoja.

No comments: