Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Saturday, September 10, 2011

Ajali mbaya ya Meli yatokea Nungwi Zanzibar

Rais wa Zanzibara Dr.Shen na Makamo wa kwanza wa Rais Mh.Seif wakiwa wamesimama kwa huzuni kubwa eneo la tukio huko Nungwi Unguja Zanzibar, kufuatia ajali ya MV.Spice Islander.



Bi Marimu (29) akiwa amebebwa juu ya Machela ya Kikosi cha Majini cha uwokoaji, baada ya kupata ajali ya Meli ya MV.Spice Islander, Bi Mariam ni mmoja ya Watu waliyookoka katika ajali hiyo mbaya.


Hizi ni baadhi ya Maiti zilizopatikana na zimewekwa sehemu hii ya mahema kwa ajili ya kutambuliwa na ndugu zao, na Viongozi wa Serikali ya Zanzibar wakitoa utaratibu wa kutambua maiti hizo.


Polisi wakisimamia na usalama kwamaelfu ya Wananchi waliyojitokoza kuangalia Meli ya MV.Spice Islander iliyotokea usiku wa kuamkia leo huko Nungwi Unguja Zanzibar, na idadi kamili ya Watu waliyopoteza maisha bado ijafahamika rasmi. (Picha kwa hisani ya MICHUZI BLOG)

No comments: