Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Tuesday, August 23, 2011

Rais Jakaya Kikwete azuru Pemba

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na walemavu Mohamed Othman Omari na Khamis Said Abdallah muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Pemba.

No comments: