Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, August 24, 2011

Dk Shein aongoza maziko ya mbunge

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiweka udongo katika kaburi la marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri Mkoa wa Kusini Unguja. Marehemu alikuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini na Mbunge wa Kuteuliwa na Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

No comments: