Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Monday, December 12, 2011

Rais Jakaya Kikwete akiangalia mikate iliyotengenezwa kwa majiko yenye kutumia kuni

Rais Jakaya Kikwete akiangalia mikate iliyotengenezwa kwa majiko yenye kutumia kuni mbadala zitokanazo na mabaki ya mbao wakati alipotembelea banda la Kampuni ya Envotec kwenye Maonesho ya Miaka 50 ya Uhuru katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam jana. Anayemwelezea ni Mkurugenzi kampuni hiyo, Sylvester Mwambije na katikati ni Waziri wa Nishati na Madini, Wiliam Ngeleja. 

No comments: