Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Friday, December 2, 2011

George W. Bush, na Tanzania yetu?...

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mke wa Rais mstaafu wa Marekani George W Bush (wa pili kulia), Mama Laura alipowakaribisha Ikulu kwa mazungumzo. Kushoto ni Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt na binti wa Rais huyo mstaafu, Barbara. Baadaye Bush alihudhuria maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani jijini Dar es Salaam.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mke wa Rais mstaafu wa Marekani George W Bush (wa pili kulia), Mama Laura alipowakaribisha Ikulu kwa mazungumzo. Kushoto ni Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt na binti wa Rais huyo mstaafu, Barbara. Baadaye Bush alihudhuria maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani jijini Dar es Salaam.

No comments: