Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, November 2, 2011

ATCL yaruka tena Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kapteni mstaafu Issa Machibya (anayeshuka kwenye ndege) akipokewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATC), Paul Chizi baada ya kukagua ndege hiyo ilipowasili uwanja wa Kigoma. Shirika hilo limeanza kutoa huduma zake baada ya kusimama kwa muda mrefu.

No comments: