Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Thursday, October 20, 2011

Rais Jakaya Kikwete azikubari ndizi za mkoa wa Kigoma

Rais Jakaya Kikwete akitazama mkungu wa ndizi uliozalishwa katika shamba la mkulima wilayani Kasulu katika mkoa wa Kigoma wakati wa maonesho yaliyofanyika mjini Mpanda sambamba na kongamano la uwekezaji katika ukanda wa Ziwa Tanganyika.

No comments: