Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Friday, September 16, 2011

Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro, Dk. Ikililou Dhoinine atembelea Tanzania

Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro, Dk. Ikililou Dhoinine, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments: