Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, September 21, 2011

Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na Mkurugenzi wa miradi ya afya wa taasisi ya Miracle Corners

Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na Mkurugenzi wa miradi ya afya wa taasisi ya Miracle Corners, Dk. Marion Bergam na wajumbe wengine wa mkutano wa kwanza wa magonjwa yasiyoambukiza duniani uliofanyika Chuo Kikuu cha New York, Marekani. Mkutano huo ulidhaminiwa na Serikali ya Tanzania.

No comments: