Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, September 7, 2011

Miaka 50 ya Uhuru Elimu bado ni kizungumkuti Tanzania!

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mbuyuni Frida Rweyemamu akiwapa mawaidha wanafunzi wa darasa la saba katika eneo la shule yao Kinondoni jijini Dar es Salaam.Wanafunzi hao wanafanya mtihani wao wa kitaifa pamoja na wengine nchini kote leo.

No comments: