Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Tuesday, September 13, 2011

Ajali ya meli Zanzibar kuchunguzwa

Rais Jakaya Kikwete(watatu kushoto) akijumuika na baadhi ya viongozi wa Serikali na wananchi wa Zanzibar katika dua ya pamoja ya kuwaombea marehemu waliokufa katika ajali ya meli iliyotokea Jumamosi eneo la Nungwi,Unguja.Viongozi wengine kutoka kushoto ni Rais mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Shariff Hamad,kushoto kwa Rais Kikwete ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Rais mstaafu awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi.

No comments: