Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Tuesday, April 10, 2012

Buriani Steven Kanumba


Umati wa wananchi ukiwa umelizingira gari lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Steven Kanumba katika viwanja vya Klabu ya Viongozi (Leaders Club) Dar es Salaam. Kanumba amezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini humo.

No comments: