Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Wednesday, December 21, 2011

Mvua ya radi yaua watano Dar es Salaam

Msamaria akimvusha kikongwe mkazi wa Jangwani baada ya makazi yake kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Desemba 20.
Wakazi wa Dar es Salaam wakishuhudia kazi ya uokoaji wa watu waliokwama kwenye maji ya Mto Msimbazi eneo la Kigogo Darajani. Shughuli hiyo ilikuwa ikifanywa na Kikosi cha Uokoaji cha Halmashauri ya Jiji jana.

No comments: