Karibu kwenye Blog ya Kijamii ya Kigoma yetu kwa habari na matangazo kwa bei nafuu sana. Tunakalibisha maoni, ushauri na habari zako ili tuijenge Tanzania kwa pamoja.

Monday, July 4, 2011

Haya ndiyo Matukio katika Picha jinsi Timu ya Kigoma ilivyo chukua Ubingwa dhidi ya Morogoro kwenye Copa Coca-Cola Jumamosi kwenye Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam.




 
Kombe hili ni Zawadi kwa Wanakigoma wote waishio popote Nchi nzima na nje ya Tanzania, hakika Mkoa wa Kigoma (Brazil ya Bongo) umejaariwa Vipaji vingi vya Michezo  na Musiki pia.

Tunatoa wito kwa Serikali na TFF wawachukue Vijana  hawa na kuwaweka kambini ili kuwaendeleza katika Soka zaidi kwani wanavipaji vilivyo tukuka.

Hongereni sana Vijana wa Timu ya Kigoma kwenye michuano ya Copa Coca Cola kwa kuiletea heshima kubwa Mkoa wa Kigoma.

No comments: