Msamaria akimvusha kikongwe mkazi wa Jangwani baada ya makazi yake kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Desemba 20.
|
Wakazi wa Dar es Salaam wakishuhudia kazi ya uokoaji wa watu waliokwama kwenye maji ya Mto Msimbazi eneo la Kigogo Darajani. Shughuli hiyo ilikuwa ikifanywa na Kikosi cha Uokoaji cha Halmashauri ya Jiji jana. |
No comments:
Post a Comment