Wasamaria wakimsaidia mwathirika wa mafuriko baada ya kumuokoa akiwa amejishikilia kwenye mti ili asizame kwenye maji ya Mto Msimbazi kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
Waokoaji wakiwaokoa watoto waliokuwa wamezingirwa na maji majumbani mwao eneo la Kigogo Mbuyuni, jana, kufuatia Mafuriko ya Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment