Mama Maria Nyerere akitunukiwa Nishani ya Heshima na Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwakilishi wa Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere, Mama Maria Nyerere wakati wa sherehe ya kutunuku nishani iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment